Semi za Kiswahili kuhusu Viungo vya Mwili na Nafasi yake kwa Jamii

Autores

  • Shani Omari MCHEPANGE Mawasiliano na Uchapishaji, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Resumo

Semi za Kiswahili ni utanzu muhimu wa fasihi simulizi unaotumika katika mazungumzo ya kila siku miongoni mwa wanajamii. Semi hizo husawiri masuala mbalimbali ikiwemo viungo vya mwili. Katika lugha ya Kiswahili, ingawa kuna semi kadhaa zinazosawiri viungo vya mwili, hata hivyo kunakosekana utafiti wa kutosha kuhusu suala hili. Hivyo kushindwa kufahamu vizuri maudhui na dhima zake kwa jamii. Hivyo basi, lengo la makala hii ni kujadili mchango wa semi zinazohusu viungo vya mwili katika jamii ya wazungumzaji wa Kiswahili. Data za utafiti huu zilikusanywa kutoka maktabani. Utafiti umebaini kwamba semi hizo zinazosawiri viungo vya mwili zimejitokeza katika vipera mbalimbali ikiwemo methali, misemo, shirikina, misimu, vitendawili na nahau. Kutokana na wingi wa semi hizo makala hii imejikita katika vipera viwili tu; methali na misemo. Utafiti umebaini kwamba semi hizo zimesheheni maudhui anuwai. Miongoni mwa maudhui hayo ni kufanya kazi, umoja na ushirikiano, heshima, tabia njema, malezi na kutunza siri. Masuala mengine ni kifo, mapenzi, uangalifu na umakini katika masuala mbalimbali. Aidha, imebainika kwamba semi hizo zina dhima mbalimbali ikiwemo kuelimisha, kuendeleza falsafa ya Kiafrika, kuishauri na kuikinga jamii dhidi ya hatari na matatizo mbalimbali. Hivyo, semi zina mchango mkubwa katika kuendeleza jamii husika na kuwasilisha masuala mbalimbali. Tafiti zingine zifanyike ili kuchunguza zaidi kuhusu uwanja huu wa semi za viungo vya mwili katika Kiswahili.

Downloads

Não há dados estatísticos.

Biografia do Autor

Shani Omari MCHEPANGE, Mawasiliano na Uchapishaji, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Idara ya Fasihi, Mawasiliano na Uchapishaji, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Referências

Badru, Z. A. (2019). Dhima ya taswira katika ufasiri na uteguzi wa vitendawili. Kioo cha Lugha, 17, 179-198.

Balogun, O.A. (2006). A Jurisprudential analysis of Yoruba proverbs. The Cambrian Law

Review. 37, 86-97.

Beck, R. M. (2005). Texts on textiles: Proverbiality as characteristic of equivocal communication at the east African coast (Swahili). Journal of African Cultural Studies, 17(2), 131-160.

Bianco, C.D. & Emig, J. (eds.) (2009). Diwani ya methali: An anthology of proverbs in

Kiswahili. Vienna Department of African Studies University of Vienna.

De Klerk, Marissa, Jan Alewyn Nel & Eileen Koekemoer (2015) Work-to family enrichment:

Influences of work resources, work engagement and satisfaction among employees within the South African context, Journal of Psychology in Africa, 25:6, 537-546.

de Saussure, F. (1916). Course in general linguistics. Duckworth.

Finnegan, R. (2012). Oral literature in Africa. Open Book Publishers CIC Ltd.

Hussein, J. W. (2009). A discursive representation of women in sample proverbs from Ethiopia,

Sudan, and Kenya. Research in African Literatures, 40(3), 96-108.

Kezilahabi, E. (1985) African philosophy and the problem of literary interpretation. University of Wisconsin-Madison.

King’ei, K. & Ndalu, A. (2016). Kamusi ya semi za Kiswahili. East African Educational

Publishers.

Koskinen, Kaisa and Nike K. Pokorn (2020). Ethics and translation: An introduction, The

Routledge Handbook of Translation and Ethics, 1-10. https://www.routledgehandbooks.com/doi/10.4324/9781003127970-1

Lévi-Strauss, C. (1955). The structural study of myth. The Journal of American Folklore,

(270), 428-444.

Madumulla, J.S. (2001). Proverbs: A pack of lies? UTAFITI, 4, 257-74.

Mauya, A.B. 2008. Semi: Maana na matumizi. Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.

Mberwa, A.R. (2024). Fantasia katika misemo ya kiitikadi ya jamii ya Wazanzibari. Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA).

Mbiti, J.S. (1969). African religion and philosophy. Heinemann Publisher Ltd.

Mbiti, J.S. (2011). Introduction to African religion. East African Publisher Ltd.

Mchepange, S.O. (2021) Usawiri kijinsia wa dhamira katika misemo ya kwenye vyombo vya usafiri nchini tanzania na dhima zake kwa jamii. Kioo cha Lugha, 19(1),161-179.

Mchepange, S.O. & Mahenge, E.G. (2022). Methali za Kiswahili zihusuzo ulemavu: Mitazamo na athari zake katika jamii. Swahili Forum, 29, 114-133.

Mieder, W. (2008). Proverbs speak louder than words: Folk wisdom in art, culture, folklore, history, literature and mass media. Peter Lang Publishing, Inc.

Mieder, Wolfgang. 2014. Futuristic paremiography and paremiology: A plea for the collection and study of modern proverbs. Folklore Fellows’ Network, 44: 13-17, 20-24.

Mng’aruthi, T. K. (2008). Fasihi simulizi na utamaduni. The Jommo Kenyatta Foundation.

Momoh, C.S. (2000). Philosophy in African proverbs. African Philosophy Projects Publications.

Mturo, N.G. (2011). Dhima ya semi zilizoandikwa kwenye daladala: uchambuzi wa vipengele vya lugha na dhamira. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Mulokozi, M. M. (2017). Utangulizi wa fasihi ya Kiswahili. KAUTTU Ltd.

Omari, S. (2011). Poetics of daladala: ThecCase of HIV/AIDS dialogue in daladala ticket slogans. Kiswahili, 74:78-94.

Omari, S. (2011). The role of slang in understanding bongo flava content and culture. In Imani Sanga & Mitchel Strumpf (Eds.), Readings in Ethnomusicology (pp. 159-172). Dar es Salaam University Press.

Omari, S. (2019). Misemo ya ‘vyumba vimekaza’: Uchambuzi wa mtindo na dhima yake. Kiswahili, 82, 106-120.

Omari, S., Mkomwa, A. and Mlingi, S. (2016). Texts on Swahili cultural artefacts in Tanzania and the representation of women’s voice’. JULACE, 1(1), 131-150.

Ponera, A. S. & Kikula, I. S. (2017). Misemo ya vyombo vya usafiri. Afroplus Industries Limited.

Salla, H.D. (2017). Vitendawili vya Kwetu (1). African Proper Education Network.

Salla, H.D. (2017). Nahau za Kwetu (1). African Proper Education Network.

Schipper, M. (2006). Never marry a woman with big feet: women in proverbs from around the world. Amsterdam University Press.

Simiyu, W. F. (2011). Kitovu cha fasihi simulizi. Serengeti Bookshop.

Thakhathi, Andani & T. G. Netshitangani (2020) Ubuntu-as-Unity: Indigenous African proverbs as a ‘re-educating’ tool for embodied social cohesion and sustainable development, African Identities, 18:4, 407-420, DOI: 10.1080/14725843.2020.1776592

Wafula, R.M. & Njogu, K. (2007). Nadharia za uhakiki wa fasihi. Jomo Kenyatta Foundation.

Wamitila, K.W. (2001). Kamusi ya Methali. Longhorn Publishers.

Wamitila, K. W. (2003) Kamusi ya fasihi: Istilahi na nadharia. Focus Publications.

Wamitila, K. W. (2015). Kanzi ya Fasihi. Vide Muwa Publishers.

Zawawi, S. (2005). Kanga, the cloth that speaks. Azania Hills Press.

Downloads

Publicado

06-08-2025

Como Citar

MCHEPANGE, S. O. . (2025). Semi za Kiswahili kuhusu Viungo vya Mwili na Nafasi yake kwa Jamii. JINGA SEPÉ: evista nternacional e ulturas, Línguas fricanas rasileiras (ISSN: 2764-1244), 5(Especial II), 65–79. ecuperado de https://revistas.unilab.edu.br/njingaesape/article/view/2353